Mwundo 900160: LL-CO
Mwundo 900161: LL-CO
Jinsi ya Kutumia Bidhaa Hii
KABLA YA KUTUMIA KIFAA HIKI, SOMA MAAGIZO YOTE YA USALAMA.
KUHUSU KIFAA HIKI
Vifaa vilivyomo ndani ya mfumo wa LL-CO
kimeshikanishwa na neli, geji ya kuzuia mkazo (shinikizo), na kiunganishi cha nira ya silinda. Ncha
mbalimbali za Cryosurgical hupatikana za kutumika pamoja na chombo hiki.
MAELEKEZO
LL-CO
ni chombo cha cryosurgical kinachokusudiwa kutumika katika utaratibu wa kugandisha na
2
kuharibu tishu za vidonda visivyo vya kuenea na pia vidonda vya kuenea ambavyo bado havijaanza
kuenea.
MATUMIZI YASIYOSTAHILI
LL-CO
haikusudiwi kwa matibabu kwenye mzunguko mkuu wa damu au mfumo mkuu wa neva.
2
MAONYO
Chombo cha LL-CO
pekee. Usitumie gredi nyingine yeyote ya gesi ya CO
Usitumie silinda iliyo jaa mno; shinikizo ya gesi yaweza kuzidi na kuleta
hatari. (Silinda ya kilo 9 haipaswi kuwa na zaidi ya kilo 9 za oevu wa
dioksidi kaboni CO
IKIWA SHINIKIZO YA SILINDA NI ZAIDI YA 800 PSI
(56,25 kg/cm
Songeza silinda kwenye eneo lenye hewa safi unapoachilia gesi. Dioksidi
kaboni ikikusanyika kwa wingi mahali pamoja inaweza kuhatarisha afya.
Chombo hiki pia kina mfereji wa kuelekeza gesi inayotokea kwenye
mlango wa ekzosi wa gesi, mbali na daktari na pia mgonjwa.
Ukaguzi kwa macho wa mara kwa mara wa vyombo vya upasuaji pamoja na ncha ni muhimu.
Komesha matumizi ya bidhaa yo yote inayoshukiwa kuwa imeharibika. Rudisha bidhaa
iliyoharibika kwa Wallach kwa ukaguzi na uangalizi wa kitaalamu.
Kamwe usilowe au kusafisha ncha za chombo cha upasuaji cha Wallach kwenye michanganyiko ya
ya klorini (dawa ya Klorini) au bidhaa zilizo na besi ya iodine. Kemikali hizi zitaharibu ncha za
chombo cha Wallach.
Unyevu kwenye waya na tundu za ncha za chombo cha upasuaji waweza kusababisha tatarika,
kuganda vibaya na hitilafu zingine. (Kila utumiapo maji au mvuke kusafisha au kuondoa bacteria,
waya zote za gesi na tundu la ncha za chombo cha upasuaji lazima zizuiwe kwa plagi au kutatokea
uharibifu.) Plagi za ncha za chombo cha upasuaji zaweza kupatikana kutoka Wallach.
37295 • Rev. B • 2/12
(Gurudumu la mkono —CGA320)
(Nira Yenye Pini—CGA940)
kinatumia CO
(hewa ya Dioksidi Kaboni ) ya gredi inayotumika kwa matibabu
2
2
). CHOMBO HIKI HAKIPASWI KUTUMIWA
2
2
).
™ Mfumo wa Cryosurgical
2
™ Mfumo wa Cryosurgical
2
(Kiswahili / Swahili)
™
ni mkono wa kuweka baridi, kipima kidonda ambacho
2
2.
47
Wallach Surgical Devices