Utatuzi
Tatizo
Pampu ina shida zifuatazo:
Kushindwa kuzalisha shinikizo,
shinikizo zisizokuwa na uhakika,
kelele nyingi, kupoteza shinikizo,
kiwango cha maji kilicho chini.
Sabuni inashindwa kuchanganyika
na mfukizo.
Injini inaenda vizuri wakati hakuna
mzigo lakini inakwama wakati
mzigo unaongezwa.
Injini haiwaki, inazimika wakati
wa inatumika au inawaka na
kunguruma vibaya.
Kwa masuala mengine yote, mwone muuzaji wa Briggs & Stratton.
Vipengele Maalum
Upeo wa Shinikizo ya Tundu la Kutoka . . . 17.2 MPa (2500 PSI or
Mtiririko wa Kasi Kabisa . . . . . . . . . lita 8.7 kwa dakika (2.3 GPM)
Temprecha ya Maji ya Juu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 38°C (100°F)
Nguvu ya kusongeza . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 190 cc (11.57 cu. in.)
Pengo ya Spaki Plagi . . . . . . . . . . . . . . . . milimita 0.76 (0.030 in.)
Kiasi ya Petroli . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . lita 1.5 (1.6 Qt.)
Kiasi ya Mafuta. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . lita 0.6(aunzi 20)
Shinikizo ya Sauti @ mita 3 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 84 dBA §
Upimaji Wa Nguvu Ya Stima: Upimaji wa nguvu yote kwa ujumla ya injini ya petroli imewekewa lebo kulingana na kodi ya SAE (Society
of Automotive Engineers) J1940 mfumo wa kupima nguvu ya injini ndogo, na ilipimwa kwa mujibu wa SAE J1995. Matokeo ya nguvu yote
kwa ujumla ya 'torque' hupatikana kutoka 2600 RPM kwa zile injini zilizo na "rpm" kwa lebo na 3060 RPM kwa zingine zote, matokeo ya
nguvu ya 'horsepower' hupatikana kutoka 3600 RPM. Vizingo vya nguvu jumla vinaweza kutazamwa kwa www.BRIGGSandSTRATTON.
COM. Matokeo ya nguvu yanachukuliwa na eksozi na kichujio cha hewa zikitumika ilhali nguvu jumla zinapatwa bila kuziongeza. Nguvu ya
injini kwa ujumla itakuwa nyingi kuliko nguvu ya injini na inaathiriwa na mazingira ya operesheni na tofauti ya injini zinazotimika. Kutokana
na upana wa bidhaa ambazo injini zimewekwa, injini za petroli zinawezekana zisitoe nguvu zilizopimiwa nayo wakati zimetumika katika
kifaa kinachotumia nguvu yake. Tofauti hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na, aina tofauti ya vipengele vya injini (hewa
safi, eksozi, kuchaji, kupoesha, kabureta, pampu za mafuta, na kadhalika), upungufu wa vipengele, mazingira (joto, unyevu , urefu), na
tofauti ya injini. Kutokana na upungufu wa kiasi ya utengenezaji, Briggs & Stratton wanaweza kuibadilisha injini hii iliyo na nguvu nyingi
zaidi.
* kioshaji cha shinikizo hiki kimesawazishwa kulingana na Chama cha Watengenezaji wa Vioshaji vya Presha (PWMA) kiwango PW101-
2010(Upimaji na usawazishaji Utendaji wa Vioshaji vya Presha).
§ Sauti zilizopimwa kwa mujibu wa kanuni za Tasmanian Environmental Management and Pollution Control (Kelele nyingine).
Sababisho
1. Ncha ya Kufukiza ya shinikizo kidogo
imewekwa.
2. Tundu la kuingiza maji limezibwa.
3. Upungufu wa maji.
4. Mpira wa maji unaoleta maji umekunjana
au unavuja.
5. Pazia ya mpira wa maji unaoleta maji
imezibwa.
6. Maji yanayosambazwa yako juu ya 38°C
(100°F).
7. Mpira wa maji ulio na shinikizo ya juu
imezibwa au inavuja.
8. Bunduki ya mfukizo inavuja.
9. Ncha ya Kufukiza imezibwa.
1. Tubu ya kutoa sabuni haijachovya.
2. Tubu ya sabuni imezibwa ama imepasuka.
3. Ncha ya Kufukiza ya shinikizo ya juu
imewekwa.
4. Angalia kama mpira umekwama katika
mfumo wa sabuni.
Kasi ya injini iko polepole sana.
1. Kiwango ya chini ya mafuta.
2. Mafuta yameisha.
3. Waya ya spaki plagi haikuwa
imeshikanishwana spaki plagi yenyewe.
4. Mafuriko.
172 BAR)*
Sahihisho
1. Badilisha na ncha ya kufukiza iliyo na
shinikizo ya juu.
2. Safisha tundu la kuingizia maji.
3. Patiana mtiririko wa maji unaotosha.
4. Nyoosha mpira wa maji, weka kiraka
kwa sehemu inayovuja.
5. Angalia na usafishe pazia ya tundu la
mpira wa maji.
6. Sambaza maji yaliyo baridi.
7. Toa uchafu kwa tundu la kutoa la mpira
wa maji, badilisha kama inavuja.
8. Badilisha bunduki ya mfukizo.
9. Safisha ncha ya kufukiza.
1. Weka tubu ya kutoa sabuni kwa sabuni.
2. Safisha au badilisha tubu ya kutoa
sabuni.
3. Badilisha na ncha ya kufukiza nyeusi.
4. Toa mpira wa kuchunguza mfumo wa
kutoa kabuni.
Songeza wenzo ya transfoma ndogo ya gari
hadi kwa nafasi ya(
1. Jaza kifuniko ya fitokombo kwa kiwango
sahihi.
2. Jaza tenki ya mafuta.
3. Unganisha waya na spaki plagi.
4. Subiri dakika 5 na washa injini tena.
Vifaa vya Huduma
Vifaa vya Ukarabati wa O-Ring . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 705002
Pazia ya Kuingiza Maji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . B2384GS
Chupa ya Mafuta ya Injini. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100005E
PumpSaver . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 6039
)FAST.
9 9