Briggs & Stratton inahakikisha kuwa, wakati wa udhamini,kama ilivyo elezwa vimaaalum hapa chini, Itatengeneza ama kuweka upya, bila malipo, sehemu yoyote
ambayo ina hitilafu Wa kifaa ama ufanyi wa kazi ama zote. Mnunuzi atalipia usafirishaji wa bidhaa inapopeleWa kurekebishwa ama kubadlishwa. Hii cheti ya
jukumu, ina ufanisi wakati maalum na masharti yaliyotangazwa hapa chini. Kupata huduma ya hii kibali, Tafuta muuzaji aliyekaribu nawe Wa ramani yetu katika
BRIGGSandSTRATTON.COM. Mnunuzi lazima awasiliane na muuzaji aliyedhibitiwa, alafu alete bidhaa Wa muuzaji ili ikaguliwe na ijaribiwe.
Hakuna njia ingine nyoofu ya kupokea udhamini Jukumu za kudokezwa, zinahusisha zile za uuzaji na uzime wa sababu haswa, zimeitikishwa hadi
muda uliotangazwa hapa chini, ama hadi mahali sheria imeitikisha. Dhima ya uharibifu mwafaka ama madhara yameachwa nje hadi mahali upeo
inaitikisha. Nchi ama taifa zisizoitikisha mipaka ya hizi dhamini za kudokezwa na taifa zisizotenga labda hazitumiki Wako. Uhamini huu unakupa haki maalum na
unaweza kuwa na haki zingine zinazotofautiana kutoka nchi hadi nyingine. **
** katika Australia- Bidhaa zetu zinakuja na hakikisho zisizo wachika nje sheria ya wanunuzi ya Australia. Una haki ya kubadilishiwa ama kuridishiwa pesa shida kubwa
na kurudishiwa pesa Wa hasara ambayo ingekupata Wa kutumia hii bidhaa. Una haki pia ya kutengenezewa na kupewa bidhaa nyingine kama bidhaa si za hali ubora
unaotakikana na shida haileti shida kubwa. Wa huduma ya udhamini, tafuta muuzaji aliyekaribu nawe Wa ramani yetu Wa BRIGGSandSTRATTON>COM, ama Wa
kupiga simu 1300 274 447, ama kutuandikia barua pepe Wa
[email protected]. Ama kuandika barua Wa Briggs & Stratton Australia Pty Ltd, 1
Moorebank Avenue, NSW, Australia, 2170.
Muda wa udhamini huanza tarehe ya mnunuzi wa Wanza wa rejareja ama mununuzi wa biashara. "Mnunuzi wa kutumia nyumbani" inamaanisha unatumia hii bidhaa
nyumbani pekee. "Matumizi Wa Biashara" Inamaanisha matumizi mengine, ikiwamo matumizi Wa biashara, kazi inayoleta pesa ama kukodisha. Baada ya bidhaa
kutumiwa Wa njia ya biashara, kutoka hapo inachukiliwa kama bidhaa ya kutumiwa Wa biashara.
Kuhakikisha upesi na huduma kamili ya udhamini, sajili bidhaa yako katika tovuti yetu ama www.onlineproductregistration.com, ama utume Wa barua kadi ya usajili
iliyojazwa kama umepewa, ama piga simu 1-800-743-4115 (kama uko USA)
Hifadhi ithibati ya kuashiria risiti ya ununuzi. Kama hutapeana ithibati ya siku ya Wanza ya ununuzi wakati cheti cha udhamini kinaitishwa, siku ya utengenezaji wa hii
bidhaa hutumiwa kuamua muda wa udhamini. KUsajiliwa Wa bidhaa hakuhitajiki kupata huduma ya udhamini Wa bidhaa za Briggs & Stratton.
Huduma ya udhamini inapatikana kutoka tu Wa wauzaji waliodhibitishwa na Briggs & Stratton. Marekebisho yanayotokana na udhamini, hufanyiwa kazi mara Wa mara,
lakini kuna wakati dai la huduma ya udhamini si ya kufaa. Udhamini hushughulikia kasoro za vifaa na ufanyi kazi. Haishughulikii uharibifu unaotokana na kutumia bidhaa
vibaya ama kuihifadhi vibaya, kuzeeka Wa kawaida, ama kutumiafueli iliyoharibika ama mafuta isiyokubalishwa.
Matumizi yasiyofaa - Matumizi ya hii bidhaa imeelezwa Wa mwongozo wa mtumizi. Kutumia hii bidhaa Wa njia ambayo haijalezwa Wa mwongozo wa matumizi ama
kutumia bidhaa baad ya kuharibika haitashughulikiwa na udhamini huu. Hautashughulikiwa na udhamini kama namba maalum iliyo Wa bidhaa imetolewa ama bidhaa
imefanyiwa mabadilisho Wa njia yoyote ile, ama kama bidhaa inaonyesha kutumiwa vibaya kama kuharibiwa na maji ama uharibifu wa kuchomeka Wa kemikali.
Marekebisho mabaya ama matengenezo mabaya- Hii bidhaa lazima idumishwe kufuata utaratibu na ratiba iliopatiwanwa na mwongozo wa mtumizi, na kurekebishwa
ama kutengenezwa kutumia sehemu halisi za Briggs & Stratton ama sawia. Uharibifu unaotokana na kukosa kudumishwa ama matumizi ya vipengele visivyo halisi
visivivyo shughulikiwa na udhamini.
Kuisha na kupasuka Wa kawaida – Kama mashine nyingi za mitambo, hii bidhaa itaisha ata kama imedumishwa vizuri. Udhamini huu haushughulikii urekebishaji
wakati matumizi ya kawaida imemaliza maisha y kipengele ama kifaa. Matengenezo na kuisha Wa vipengele kama vichujia, mishipi, visu vya kukata na pedi za breki
(isipokuwa pedi za breki ya injini) hazijashughulikiwa na udhamini kutokana na kuisha pekee, ila kama imesababishwa na kasoro ya vifaa ama utendaji kazi.
Fueli iliyoharibika ama isiyo itikishwa - Ili itende kazi vizuri, hii bidhaa inafaa fueli safi inayokubaliana na vigezo vilivyokatika mwongozo wa matumizi. Injini ama kifaa
kuharibika kusababishavyo na matumizi ya fueli iliyo haribika ama matumizi ya mafuta yasiyoitikishwa kama (E15 ama E85 blandi za ethanoli) hazijashughulikiwa na
udhamini.
Vivuo vingine - Udhamini huu umetenga uharibifu kutokana na ajali, matumizi mabaya, urekebishaji, kuhumia mashine vibaya, kuganda ama kuchomeka na kemikali.
Viongezo ama vifaa vingine visivyokuwa vimefungwa na hii bidhaa pia vimetengwa. Hakuna udhamini wa kushughulikia kama kifaa kinachotumiwa kama msingi wa
stima Wa mahali ya stima y a kushirikiana ama kifaa kinatumiwa Wa mashine ya kuasidia kupumua. Udhamini huu haushughulikii, mahine iliyotumiwa hapo awali,
iliyorekebishwa, imenunuliwa mara ya pili, ama vifaa ama injini za maonyesho. Udhamini huu pia umetenga shida zinazotokana na vitendo vya mungu ama nje ya uwezo
wa mtengenezaji wa bidhaa.
10
10
BIDHAA ZA BRIGGS & STRATTON HATI YA UDHAMINI
UDHAMINI MDOGO
MUDA WA UDHAMINI
Matumizi ya nyumbani
Miezi 12
KUHUSU UDHAMINI WAKO
Matumizi Wa biashara
Hakuna
Januari 2014
80011059_EN Rev -
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM