6. Fungilia pipu ya presha ya juu Wa kiopoo cha juu cha
kibao cha vipengele.
7. Hifadhi nozeli nyekundu ya presha ya juu Wa mwisho
wa enezi ya nozeli. Hifadhi bunduki ya kufukiza, enezi ya
nozeli, na nozeli ya 7-Wa-1 Wa kibao cha vipengele.
Baada ya kila matumizi
Maji hayafai kubaki wa sehemu ya maji Wa muda mrefu.
Mchanga ama madini yaweza kusanyika Wa sehemu za
pampu na "kugandisha" kutenda kazi Wa pampu. Fuata
utaratibu huu kila wakati baada ya matumizi:
1. Endeleza mashine y akuosha Wa presha na sabuni
Wa nozeli ya kufukiza hadi tanki ibaki tupu.
2. Ongeza lita 0.5 za maji Wa tanki ya sabuni, na
upitishe sabuni Wa nozeli ya kufukiza. Safisha Wa
dakika moja ama mbili
3. Bonyeza switchi kuu ya kuwasha/kuzima upande wa kuzima
(0). Toa kamba ya kusambaza umeme kutoka Wa socketi.
4. Zima usambazaji wa maji. Elekeza buduki ya kufukiza Wa
upande salama, Bonyeza kidude cha kufunga, na ufinye
kidude cha kuachilia presha iliyofungiwa Wa mashine.
5. Toanisha pipu ya kuleta maji kutoka Wa mahali
unatoa maji. Toanisha pipu ya presha ya juu kutoka
Wa bunduki na mahali ya kutokea Wa presha ya juu
6. Mwaga maji kutoka Wa mpira wa maji na bunduki ya
kufukiza, na upanguze sehemu ya nje.
7. Mwaga maji kutoka pampu Wa kuinamisha Wa
upande wa kulia ( sehemu inayoleta maji ikiangalia
chini) Wa dakika mbili. Inamisha upande huo
mwingine na uegemeze Wa upande wa presha kali,
Wa dakika zingine mbili.
8. Zengeresha mpira wa maji ya presha ya juu Wa
kiopoo cha juu cha kibao cha vipengele.
9. Zungusha kamba ya stima Wa kiopoo cha chini cha kibao
cha vipengele. Hifadhi bunduki ya kufukiza, enezi ya
nozeli na nozeli ya 7-Wa-1 Wa kibao cha zana za kazi.
10. Hifadhi sehemu Wa mahali safi, na pakavu.
11. Kama unahifadhi Wa muda uliopita siku 30, ona
sehemu ya hifadhi.
Udumishaji
Mapendekezo ya jumla
Kurekebisha kistima mara Wa mara itaboresha utendaji kazi na
kurefusha maisha ya mashine ya kuosha Wa presha. Tembelea
muuzaji wa Briggs & Stratton aliyedhibitishwa Wa huduma.
USIITIKISHE watoto kuosha ama dumisha bila kusimamiwa.
Hati ya jukumu ya mashine ya stima ya kuosha Wa presha
hailipi vipengele vilivyotumiwa Wa uzembe ama bila heshima
na anyetumia mashine. Ili kupokea malipo ya dhamani kamili,
anayetumia hii mashine lazima azingatie mashine ya kuosha
Wa presha kama alivyoelekezwa Wa huu mwongozo,ikiwamo
kuhifadhi vyema kama ilivyo amrishwa Wa jinsi ya kuhifadhi.
ONYO! Kuhakikisha usalama wa mashine, tumia
vipuri halisi kutoka Wa watengenezaji wa bidhaa
ama vipuri vilivyodhibitishwa na watengenezaji wa
hii mashine. Wakati unapopata swali kuhusiana na jinsi ya
kurekebisha sehemu mbalimbali za mashine, Tafadhali
tembelea tovuti yetu>BRIGGSandSTRATTON.COM. Ikiwa
kamba imeharibika, tembelea Kituo cha Huduma
Kilichoidhinishwa na Briggs & Stratton.
Matengenezo ya nozeli
Safisha nozeli kurekebisha presha iliyopita inayosababishwa
na kuzibika Wa mwisho wa kifaa cha kufukiza.
1. Bonyeza swichi kuu ya kuwasha/kuzima upande wa
kuzima (0). Toa kamba ya kusambaza umeme kutoka
Wa socketi.
2. Toa nozeli ya 7-Wa-1 kutoka Wa mwisho wa enezi ya
nozeli.
3. Tumia kigango kidogo kutoa nyenzo geni
zinazofungana ama kuzuia nozeli.
4. Simika tena nozeli 7-Wa-1 Wa enezi ya nozeli.
Marekebisho ya Pete la umbo la
Matumizi ya mafuta ( petroli ama grizi) husaidia pete la umbo la o na
kuboresha sili. Tumia mafuta Wa vipuri vya umbo la pete O kabla
ya kufunga mpira wa maji wa presha ya juu (A), mpira wa maji wa
presha ya juu (B),bunduki ya kufukiza(C), na wandi ya plastiki (D).
Nunua mfuko wa kurekebisha kipuri cha umbo la O Wa
Wasiliana na muuzaji aliyedhibitishwa na Briggs & Stratton.
USIWAHI rekebisha unganishi zinazovuja na aina zingine
za sili. Weka kipuri cha umbo ya pete ya O ama sili.
Mchoro unaohusu Ubadilishaji Fyuzi ya
PRCD
Umbo
11
ONYO! Ili upunguze hatari ya moto, badilisha ukitumia
fyuzi ya 13-amp BS 1362 pekee.
Ikiwa kuna fyuzi ndani ya PRCD:
1. Fikia fyuzi kwenye upande wa pin wa kizibo cha PRCD.
2. Ukitumia bisibisi yenye kichwa iliyonyooka, ondoa kifuniko
(A) na vijenzi vya fyuzi. Ondoa fyuzi (B) kwenye kifuniko.
Badilisha fyuzi ukitumia fyuzi ya 13-amp BS 1362 pekee.
3. Ingiza kifuniko na vijenzi vya fyuzi.
Kuhifadhi
Fuata hatua 1-10 Wa Baada ya matumizi.
ILANI
Maji yanayowachwa ndani ya pampu yaweza
kuganda na kuharibu pampu daima. Hati ya jukumu hailipi
kuharibika Wa kuganda.
Ulinzi wa pampu
Kulinda pampu kutokana na uharibifu uliosababishwa na
kukusanyika Wa madini ama kuganda Wa maji, tumia
'PUMPSaver' kuzuia uharibifu unaotokana na kuganda Wa
maji, na utumie mafuta Wa michi ya mashine na sili.
ILANI Kukosa kulinda sehemu kutokana na temprecha
za kugandisha itaharibu pampu na kuifanya isiyoweza
kufanya kazi. Hati ya jukumu hailipi kuharibika Wa
kuganda.
Namna ya mwisho ya kuhifadhi
1. Zengeresha mpira wa maji ya presha ya juu Wa
kiopoo cha chini cha kibao cha karakana.
2. Zungusha ukamba wa kueneza umeme Wa kiopoo
cha chini cha kibao cha karakana.
3. Hifadhi ana ya kufukiza, enezi ya nozeli na nozeli ya
7-Wa-1 Wa kibao cha karakana.
4. Funikia mashine na kifuniko cha kukinga
kisichoshikilia maji na uhifadhi mahali safi, na pakavu
salama kutoka na temprecha za kugandisha.
Umbo
10
7 7