Briggs & Stratton Q6500 Manual De Instrucciones página 202

Ocultar thumbs Ver también para Q6500:
Tabla de contenido
Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 60
Kutatua Matatizo
Tatizo
Injini inanguruma, lakini
hakuna umeme wa AC
unatolewa.
Injini inafanya kazi vizuri ikiwa
bila kazi lakini "inalemaa"
vitumizi vinapounganishwa.
Injini haiwaki, inawaka na
kunguruma vibaya na kuzima
inaponguruma.
Kwa masuala mengine yote, mtembelee Muuzaji Aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton.
Maelezo ya Kifaa
Wati za Kuanzisha*. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .6,500
Wati za Kunguruma** . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .5,000
Umeme Unaotolewa:
Volti 230 za AC . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Amps 21.7
za Volti 5 za DC . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Amps 2.1
Kipimo kilichopendekezwa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Hertz 50
Msururu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Msururu Mmoja
Unyonyaji Mafuta . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . cc 306
Pengo la Plagi ya Spaki . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .milimita 0.76
Kiwango cha Mafuta. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Lita 18.9
Kiwango cha Oili . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Lita 1.0
Sehemu za Udumishaji za Kawaida
Plagi ya Spaki . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 798615
Chupa ya Mafuta ya Injini. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100005 au 100028
Chupa ya Oili ya Synthetic. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100074
Kwa orodha kamili ya sehemu na michoro, tafadhali tembelea BRIGGSandSTRATTON.COM.
Vipimo vya Umeme: Kipimo kamili cha umeme kwa miundo ya injini za petroli kimewekwa kulingana na SAE (Jamii ya
Wahandisi wa Magari) msimbo J1940 Utaratibu wa Kipimo cha Umeme & Mkufu wa Injini Ndogo na umepimwa kulingana na
SAEJ1995. Viwango vya mkufu vinafikia 2600 RPM kwa injini zenye "rpm" iliyowekwa kwenye lebo na 3060 RPM kwa injini
zingine zote; viwango vya nguvu ya injini vinafikia 3600 RPM. Vizingo vya umeme kamili vinaweza kutazamwa katika www.
BRIGGSandSTRATTON.COM. Viwango jumla vya umeme vinachukuliwa ekzosi na kisafishaji hewa zikiwa zimewekwa ilhali
viwango vya umeme jumla vinachukuliwa bila vipengee hivi kuwekwa. Nguvu kamili halisi ya injini itakuwa juu zaidi kuliko nishati ya
injini na yanaathiriwa na, miongoni mwa mambo mengine, hali iliyoko ya kuendesha na utofauti wa injini hadi nyingine. Kukiwa na
bidhaa nyingi ambazo zimewekwa injini, injini ya petroli huenda ikakosa kufikia kadirio la nguvu kamili inapotumiwa katika kifaa cha
umeme. Tofauti hii inatokana na vipengele mbalimbali zikijumuisha, lakini sio tu, vijenzi mbalimbali vya injini (kisafishajicha hewa,
ekzosi, kuchaji, upunguzaji halijoto, kabureta, pampu ya mafuta, n.k), vipimo vya matumizi, hali zilizoko za kuendesha (halijoto,
unyevunyevu, mwinuko),na utofauti kati ya injini moja hadi injini nyingine. Kutokana na vipimo vya utengenezaji na uwezo, Briggs &
Stratton wanaweza kuibadilisha injini hii kwa injini iliyo na nguvu nyingi zaidi.
* Nishati ya kiumeme ya wakati huo huo ambayo jenereta inaweza kutoa ili kuwasha injini za umeme, kwa kila Briggs & Stratton
628K. Haiwakilishi nishati inayohitajika kuendesha vipenge vya kiumeme bila kusita. Ndio nishati nyingi zaidi inayoweza
kusambazwa wakati huo huo unapowasha mota, ikirudufishwa kwa volteji iliyodhibitiwa ya jenereta.
** Jenereta ikilingana na ISO 8528-13:2016, injini inayoendeshwa kwa umeme wa AC- Sehemu 13: Usalama.
10
Sababu
1. Taa Nyekundu iko imara Jenereta
imewekewa uzito kupita kiasi au ina joto
kupita kiasi.
2. Kuna muunganisho mbaya au kuna nyaya
zenye kasoro.
3. Kifaa kilichounganishwa kina kasoro.
1. Jenereta imewekewa uzito kupita kiasi.
1. Swichi ya injini imewekwa kwenye eneo
linaloonyesha ZIMA (OFF) (0).
2. Taa ya kiashiria oili chache imewaka.
Kiwango cha oili kiko chini.
3. Mafuta yameisha.
4. Waya ya plagi ya spaki haijaunganishwa
na plagi ya spaki.
5. Mafuta yamefurika.
Suluhu
1. Ondoa vifaa vyote vilivyounganishwa na
jenereta. Bonyeza kitufe cha UTUMIZI
KUPITA KIASI (OVERLOAD RESET)
kwenye paneli ya udhibiti.
2. Kagua na ukarabati.
3. Unganisha kifaa kingine ambacho
hakina kasoro.
1. Ondoa vitumizi kutoka kwa jenereta.
1. Weka swichi kwenye eneo
linaloonyesha WASHA (ON) (I).
2. Jaza kasha la shafti kwa kiwango
sahihi au uweke jenereta kwenye eneo
tambarare.
3. Jaza tangi la mafuta.
4. Unganisha waya na plagi ya spaki.
5. Subiri dakika 5 na ujaribu kuwasha injini
tena.
BRIGGSandSTRATTON.COM

Hide quick links:

Tabla de contenido

Solución de problemas

loading

Este manual también es adecuado para:

030796-00

Tabla de contenido