Murray MP450D20 Manual Del Operador página 84

Cortacésped de empuje manual
Tabla de contenido
Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 20
7.2 Kuweka Modi Inayohitajika
Mashine mbalimbali za Murray zinaweza kusanidiwa kufanya
kazi katika mbinu mbalimbali, kulingana na modeli maalum.
Rejelea sehemu ya 2. Vipengele maalum vya kuona kazi
inayopatikana kwa modeli maalum.
!
KUMBUKA! Mashine lazima isanidiwe na vipengele
vilivyoonyeshwa katika jedwali lifuatalo kwa ajili ya
uendeshaji salama katika mbinu inayofaa.
Vipengele vinavyohitajika kwa ajili ya uen-
Kutoa chaji kutoka
kando
Modi
Kifaa cha kutoa
uchafu na kubadili-
sha mwelekeo
Mlango wa
nyuma
Kukusanya
×
Nyasi Nyuma ya
Mashine
Kufunika ardhi
×
na Nyasi
Kando
Kutoa chaji
"√": imewekwa "×" :imetolewa
8. Operesheni
8.1 Kuwasha na Kuzima Mashine ya Kukata Nyasi
!
ONYO! Gesi ya eksozi ya mashine iko na vitu vilivyo na
sumu . Usitumie injini katika maeneo yaliyofungwa au
yasiyo na hewa ya kutosha.
!
ONYO! Ubapa wa mashine ya kukata nyasi unaanza
kuzunguka wakati injini inawashwa.
!
ONYO! Kabla ya kuwasha injini, kagua ubapa wa
mashine ya kukata nyasi kuhakikisha kuwa amefungwa
kwa salama.
!
ONYO! Weka mikono, miguu, nywele na nguo mbali na
sehemu za mashine zinazosonga
!
KUMBUKA! Ukitaka kuwasha injini, hakikisha kuwa
buti ya spaki plagi imewekwa kwa spaki plagi na injini
imejazwa na mafuta yaliyopendekezwa.
!
ONYO! Kuendesha injini huzalisha joto. Sehemu za
injini, hasa kizuia kelele, huwa moto sana. Unaweza
kuchomeka unapokigusa.
!
ONYO! Ubapa unaendelea kuzunguka kwa
sekunde chache baada ya wengo ya kudhibiti injini ni
imewachiliwa.
!
KUMBUKA! Ili kuepuka kuanzisha injini bila kukusudia,
mashine hii imewekewa na kidhibiti cha injini;
• Kuendesha injini iipatie nguvu ubapa wa kukata inahitaji
wengo ya kudhibiti injini ishikiliwe kwa mpini wa juu(bila
opereta kuwa karibu, mashina haitaendesheka).
• Kuisimamisha injini (na ubapa), wachilia wengo ya
kudhibiti injini. Wengo itarudi kwa nafasi yake ya asili
ambayo inaizima injini moja kwa moja,
Kila wakati mashine inatumika, kagua operesheni ya wengo
ya injini na mfumo wa breki kabla ya kuanza kukata nyasi;
12
deshaji salama
Mfuko
Plagi ya
wa nyasi
Matandazo
×
×
×
Kila wakati mashine inatumika, kagua operesheni ya wengo ya
injini na mfumo wa breki kabla ya kuanza kukata nyasi;
1. Baada ya injini kuwashwa, wachilia wengo. Injini inafaa
kusimama baada ya sekunde tatu.
2. Kama injini haijasimama ndani ya sekunde 3 ya kuwachilia
wengo, usitumie mashine. Chukua mashine kwa ajenti
aliyedhibitishwa wa Briggs & Stratton ili aikague na
kuikarabati/kurekebisha.
!
ONYO! Ubapa unaendelea kuzunguka kwa sekunde
chache baada ya wengo ya kudhibiti injini ni
imewachiliwa.
8.1.1 Jinsi ya Kuwasha injini
Ya kuanzisha kwa modeli za MP450D20:
1. Finya kitufe nyekundu kikamilifu mara 3-5.
!
ONYO! Ukifinya kitufe nyekundu mara nyingi inaweza
kusababisha injini kufurika na mafuta ambayo
yanaweza kufanya injini iwe ngumu kuanza. Angalia sehemu
10 Utatuzi.
Kwa mifano zingine zote au kwa ajili ya kuanzia joto kwa
modeli MP450D20 Enda moja kwa moja kwa hatua ya 2.
2. Simama nyuma ya mashine ya kukata nyasi. Shikilia wengo
ya kudhibiti injini dhidi ya mpini wa juu (ona Kielelezo.31 au
Kielelezo.32 kama inafaa kwa umbo ya mpini wa juu kwa
modeli yako).
Kielelezo. 31
3. Kwa mkono wa kulia, shikilia mpini wa kamba ya kuanzisha
na uivute polepole hadi sentimita kama 10-15 mpaka usikie
upinzani. Shikilia wengo ya kudhibiti injini dhidi ya mpini wa
juu (ona Kielelezo.33 au Kielelezo.34 kama inafaa kwa umbo
ya mpini wa juu kwa modeli yako).
Kielelezo. 33
!
KUMBUKA! Kama injini imekataa kuanza baada ya
kuivuta mara tatu, basi rudia hatua ya 1 au 2 (kama inafaa)
hadi 3.
4. Wakati injini imewaka, wachilia mpini wa kamba ipumzike
kwa mwongozo wa kamba ya kuanzisha.
Kielelezo.32
Kielelezo.34
www.murray.com
Tabla de contenido

Solución de problemas

loading

Tabla de contenido