Mapendekezo Kwa Ujumla
Ukarabati wa mara kwa mara utaboresha utekelezaji na
kuongezea maisha ya mashine inayoosha kwa kutumia
shinikizo. Angalia muuzaji yeyote wa Briggs & Stratton
kwa ajili ya huduma. USIWARUHUSU watoto kusafisha au
kudumisha bila usimamizi.
Udhamini wa kioshaji kwa presha haujumlishi vitu,
ambavyo vimetumiwa vibaya au kupuuzwa na
anayevitumia. Ili apate thamani yote ya Udhamini, fundi
lazima adumishe mashine inayoosha kwa kutumia shinikizo
kama maelekezo katika mwongozo huu yanasema, pamoja
na uhifadhi sahihi kama ilivyoelezwa katika Uhifadhi.
ONYO! Ili kuhakikisha usalama wa mashine, tumia
vipuri asili tu kutoka kwa watengenezaji au
vilivyothibitishwa na watengenezaji. Kama una maswali
kuhusu kubadilisha vipengele katika mashine yako
inayoosha kwa kutumia shinikizo, tafadhali angalia tovuti
yetu katika BRIGGSandSTRATTON.COM.
Mpira wa Kuchunguza Mfumo wa Kutoa Sabuni kwa Bomba
Angalia mara kwa mara mpira katika mfumo wa kutoa
sabuni kwa bomba, inaweza kwama kutoka hifadhi, sabuni
kavu, au madini kwa maji. Mpira wa Kuchunguza Mfumo
unaweza kutolewa kwa kufanya yafuatayo:
1. Zima maji.
2. Injini ikiwa imezimwa na shinikizo imetolewa kwa
mfumo, toa mpira unaovuta sabuni kutoka nyaya iliyo
kwa pampu.
3. Ukitumia chombo imara, isiyo na pembe kali na
kipenyo ya milimita 2 (inchi 7/64) au ndogo kwa
angalau urefu wa milimita 25.4 (inchi 1), kama vile
bisibisi ya Allen, ingiza chombo icho polepole katika
nyaya mpaka uskikie upinzani. Upinzani huo ndio
mpira huu wa ukaguzi.
4. Sukuma polepole mpaka pale ambapo utahisi mpira
huo ukisonga polepole,usisukume zaidi ya 3mm
(1/8"). Shinikiza kidogo inaweza hitajika kutoa mpira.
5. Rudia hatua 4 na 5 kama inahitajika.
6. Rudisha tubu inaovuta sabuni kwenye nyaya.
7. Itengeneza na PumpSaver kama ilivyoelezwa katika
Kuilinda Pampu wakati wa kuhifadhi ili kuzuia marudio.
Utunzaji wa Ncha ya Kifukizi
Safisha nje ya mnyunyizo ili kusahihisha presha ya
kupindukia ya pampu iliyosababishwa na ncha ya
mnyunyizo iliyo fungamana:
1. Zima maji.
2. Toa ncha ya kufukiza kutoka kwa mwisho wa ugani
wa bomba.
3. Tumia kipini cha kushikilia karatasi kutoa kitu
chochote kigeni kinachoziba au kuzuia ncha
kinyunyizio (W).
4. Rudisha ncha ya kufukiza katika ugani wa bomba.
Takwimu
5
Kutunza Pete ya O Takwimu
Matumizi ya kilainisho (mafuta au grisi iliyotengenezwa)
husaidia kuweka pete-o hizo vyama na kuboresha namna
vinavyofunga sehemu hiyo. Paka mafuta kwa o-rings kabla
ya kuweka mpira wa maji juu ya pampu (A), mpira wa maji
ulio na shinikizo ya juu (B), bunduki ya mfukizo (C), na
ugani wa bomba (D).
Nunua Mkoba wa Ukarabati wa Pete-O kwa Kuwasiliana
na Mwuzaji wa Aliyeidhinishwa kwa kutoa Huduma
wa Briggs & Stratton. Rejelea karatasi ya maelekezo
iliyotolewa kwenye mkoba huu ili kukarabati kitengo chako
cha pete-o. KAMWE usikarabati viungo vinavyovuja na
muhuri wa aina yoyote. Badilisha o-ring au muhuri.
Uhifadhi
Kama huna mpango wa kutumia mashine inayoosha kwa
kutumia shinikizo kwa zaidi ya siku 30, lazima uandae injini
na pampu kwa ajili ya kuhifadhi.
Kulinda Pampu
Ili kulinda pampu kutoka uharibifu unaosababishwa na
kukusanyika kwa madini au baridi, tumia PumpSaver
kuzuia uharibifu wa baridi na sisima mchi wa mashine na
mihuri.
ILANI Kushindwa kuilinda kitengo kutoka barida itaiharibu
pampu na kuifanya kitengo isiweze kutumika. Uharibifu
kwa sababu ya baridi haiko kwa udhamini.
Kulinda Mfumo wa Mafuta
Mafuta inaweza kuoza wakati imehifadhiwa kwa zaidi
ya siku 30. Mafuta yaliyooza husababisha asidi na fizi
kukusanyika katika mfumo wa mafuta au kwenye sehemu
muhimu za kabureta.
Hakuna haja ya kumwaga petroli kutoka injini kama
kiimarishaji cha mafuta ni kinaongezwa kwa mujibu wa
maelekezo. Endesha injini kwa dakika 2 ili kusambaa
kiimarishaji katika mfumo wa mafuta kabla ya kuhifadhi.
Kama petroli katika injini haijawahi kutibiwa na kiimarishaji
cha mafuta, ni lazima imwagwe katika kontena
iliyoidhinishwa. Endesha injini mpaka izime kutokana na
ukosefu wa mafuta. Matumizi ya kiimarishaji cha mafuta
kwenye kontena ya kuhifadhi inapendekezwa kwa ajili ya
kudumisha usafi.
Vidokezo Vingine vya Kuhifadhi
1. USIHIFADHI mafuta kutoka msimu mmoja hadi
mwingine ila iwe imetibiwa kama ilivyoelezwa katika
Mfumo Wa Kulinda Mafuta.
2. Funika kitengo na kifuniko kinachofaa na hakihifadhi
unyevu.
ONYO! Fifuniko vya uhifadhi vinaweza
kusababisha moto na hatimaye kifo au majeraha
mabaya. USIWEKE kifuniko cha hifadhi juu ya
mashine inayoosha kwa kutumia shinikizo moto. Hakikisha
kwamba mitambo hii imepoa kwa muda unaotosha kabla
ya kuweka kifuniko kwenye mitambo hii.
3. Hifadhi kitengo katika eneo safi na kavu.
12
9 9