Utafutaji Sababu Hitilafu
Hitilafu/Kasoro
Pampu ina kasoro zifuatazo:
haiwezi kutoa shinikizo,
shinikizo lisilo thabiti, kelele,
upotezaji shinikizo, kiwango
cha chini cha maji.
Kifaa kinakataa kuwaka
wakati kikabaji kifaa-kifukizi
kimefinywa.
Sabuni imekataa
kuchanganyika na kifukizo.
Viunganishi vya mpira
vinavuja.
Kwa masuala mengine yote, muone mhudumu wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa.
Vipengele
Shinikizo Linaloweza Kuruhusika
Upeo wa Bubujiko
Kipimo kilichowekwa cha Shinikizo na Bubujiko
Tepmrecha ya Juu Zaidi ya Maji Yanayosambazwa
Kipimo cha Volteji Kilichowekwa
Kipimo kilichowekwa cha Mara
Ulaji wa Nguvu za Umeme
Mkondo wa Umeme
Kiwango cha Usalama
Shahada ya Usalama
Tetemeko la Kiganja - Mkono a hd
Uncertainty K
Kiwango cha Shinikizo la Sauti L pA
Uncertainty K pA
Kiwango cha Shinikizo la Sauti Kilichopimwa L WA
Kiwango cha Shinikizo la Sauti Kilichohakikishwa L WAd
* Kulingana na EN 60335-2-79: 2012.
Kilichoisababisha
1. Ghuba ya maji imezibika.
2. Maji hayaingizwi vya kutosha.
3. Mpira wa shambani umekunjika au
unavuja.
4. Skrini ya ghuba ya maji iliyozibwa.
5. Ncha ya Kufukizia imezibwa
1. Maji hayajafunguliwa kutoka mferejini.
2. Kifaa hakijawashwa.
3. Mpira wa shambani ni mrefu
kupindukia.
4. Fuse imechomeka au kikatiza
mzunguko wa umeme kimekakatizwa.
1. Ncha ya kufukizia ya shinikizo la juu
imesakinishwa.
1. Mpira wa shambani umelegea
kwenye ghuba ya maji.
2. Viunganishi vilivyolegea vya mpira
wa shinikizo la juu.
3. O-ring iliyoharibika.
Rekebisho
1. Safisha ghuba.
2. Weka bubujiko la kutosha la maji.
3. Weka mpira wa shambani uwe
sambamba au uigeuze ikiwa inavuja.
4. Safisha au ugeuze skrini ya ghuba ya maji.
5. Safisha ncha ya kufukizia.
1. Washa/Fungua mfereji.
2. Bonyeza swichi kuu ya ON/OFF iwe
katika hali ya ON (I). Weka PRCD upya.
3. Tumia mpira wa shambani wa urefu wa
15.24 m (50 ft.).
4. a.) Geuza fuse au weka upya kikataji
mzunguko wa stima.
b.) Tenga vifaa vingine vitumiavyo umeme
umemeni na uzime mianga kwenye
mzunguko wa umeme au uendeshe kwenye
mzunguko uliotengewa uendeshaji ule.
c.) Endesha kwa dakika 5 ikiwa na ncha ya
kufukizia cha turbo.
1. Sakinisha ncha ya kufukizia
iliyocheusishwa.
1. Kaza mpira wa shambani kwa mikono.
2. Ondoa mpira na usakinishe upya.
3. Geuza o-ring.
MPa/BAR/PSI
LPM/GPM
MPa/BAR/PSI @ LPM/GPM
°C/°F
V
Hz
W
A
Kiwango
IP xx
m/s 2
m/s 2
dB(A)
dB(A)
dB(A)
dB(A)
14.0/140/2,030 *
7.0/1.8 *
10/100/1,450 @ 4.5/1.19 *
38/100
220 - 240
50/60
1,900
9.0
Kiwango cha I
IPX5
≤ 2.5 *
0.2 *
76 *
2 *
92 *
94 *
9 9