Udumishaji Ncha ya Bunduki Iachiliayo
Mvuke na Ncha ya Kufukizia
1. Bonyeza swichi kuu iwe katika hali ya (1,L) to OFF yaani
kuzima (0) (9,A). Ondoa kizibo cha kamba ya nguvu za
umeme umemeni. Acha kifaa kipoe kwa dakika 10.
2. Songeza kiambatanisho cha burashi kwenye mwisho
wa bunduki-iachiliayo mvuke (1,N) au uondoe ncha ya
kufukizia kwenye ekstensheni ya nozeli ya chuma (1,B).
3. Ingiza mwisho wa kisafisha ncha ya waya (11) kwenye
nafasi ndogo ya kuingilia kwa kurudia ili uondoe
mabaki yoyote ya mchanga au vizibaji.
4. Sanikisha upya burashi kwenye bunduki iachiliayo
mvuke ama ncha ya kufukizia kwenye ekstensheni ya
nozeli ya chuma.
Udumishaji wa O-Ring
Utumiaji wa mafuta (petroli au grizi) husaidia kusitirisha o-rings
na kutoa ufunikaji mzuri. Paka mafuta kwenye o-ring kabla ya
kuunganisha mpira wa shinikizo la juu (mwishoni mwa pampu)
(A), mpira wa shinikizo la juu (mwishoni mwa bunduki-iachiliayo)
(B), mpira wa shambani kwenye pampu (C), kijiti-kipini cha
chuma (mwishoni mwa ncha ya kufukizia) (D), na kijiti-kipini cha
plastiki (E) na chuma (F) (mwishoni mwa bunduki-iachiliayo).
Nunua Kijisanduku cha Kudumishia O-Ring kwa kuwasiliana
na Mhudumu wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa.
USIWAHI kurekebisha viunganishi vinavyovuja ukitumia
kizibaji cha aina yoyote Geuza o-ring au kifuniko/kizibaji.
Mchoro unaohusu Ubadilishaji Fyuzi ya
PRCD
Umbo
13
ONYO! Ili upunguze hatari ya moto, badilisha ukitumia
fyuzi ya 13-amp BS 1362 pekee.
Ikiwa kuna fyuzi ndani ya PRCD:
1. Fikia fyuzi kwenye upande wa pin wa kizibo cha PRCD.
2. Ukitumia bisibisi yenye kichwa iliyonyooka, ondoa kifuniko
(A) na vijenzi vya fyuzi. Ondoa fyuzi (B) kwenye kifuniko.
Badilisha fyuzi ukitumia fyuzi ya 13-amp BS 1362 pekee.
3. Ingiza kifuniko na vijenzi vya fyuzi.
8
8
Picha ya
1 9
11
Picha ya
12
Uhifadhi
Fuata hatua 1-9 katika Baada ya Kila Matumizi.
ILANI Maji yaliyoachwa kwenye pampu huenda
yakaganda na kuharibu pampu ile kabisa kabisa. Uharibifu
utokanao na kuganda haushughulikiwi chini ya udhamini.
Ulinzi wa Pampu
Ili ulinde pampu ile kutokana na uharibifu usababishwao
na mabaki ya madini au kuganda, Tumia KilindaPampu
yaani PumpSaver ili uzuie uharibifu wa kuganda, na upake
mafuta kwenye michi ya mashine na vizibaji
NOTICE Kutolinda kifaa hiki kutokana na temprecha za
kugandisha kutaharibu pampu na kifaa hiki hakitafanya
kazi tena. Uharibifu utokanao na kuganda haushughulikiwi
chini ya udhamini.
Vidokezo vya Mwisho vya Uhifadhi
1. Zungusha mpira wa shinikizo la juu kwenye ndoano
iliyo chini ya mtungi wa maji.
2. Zungusha na uhifadhi kamba ya nguvu za umeme.
3. Hifadhi kifaa-kifukizi na kijiti-kipini cha plastiki kwenye
vishikiliaji. Hifadhi ncha za kufukizia kwenye kishikiliaji
kwenye kijiti-kipini cha chuma. Angalia Sifa na Vidhibiti.
4. Funika kifaa kile na kifuniko kifaacho cha usalama
ambacho hakihifadhi unyevunyevu na ukihifadhi
kwenye eneo safi, lililokauka ambapo kifaa kile kitakuwa
kimelindwa kutokana na temprecha za kugandisha.
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM