Briggs & Stratton P2200 Manual Del Usuario página 204

Ocultar thumbs Ver también para P2200:
Tabla de contenido
Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 60
Yaliyomo
Usalama na Alama za kuelekeza . . . . . . . . . . . . . . . 4
Maelezo ya Vifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Vipengele na Vielekezi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Operesheni . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Kuhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Utatuaji wa Matatizo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Maelezo ya Kina . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 11
Usalama na Ishara za Kuelekeza
Ishara hii ya usalama inaonyesha uwezo wa kuumia
kibinafsi. Ishara ya usalama inaweza kutumika
kuwakilisha aina ya hatari. ONYO inaonyesha athari
ambayo isipoepukwa, inaweza kusababisha kifo au
majeraha makubwa. TAHADHARI inaonyesha athari
ambayo isipoepukwa, inaweza kusababisha majeraha
madogo au ya wastani. ILANI huashiria maelezo
yanayozingatiwa kuwa muhimu, lakini hayahusiani na
hatari.
Mwongozo wa
Ishara ya
Usalama
Moto
Mshtuko wa
Stima
Kamsa ya
Baki la
Kuelea
Kaboni
Monoksidi
Kiwango cha
Mafuta
Mafuta
Kinyonga
Washa
Kikata Mkondo
Pumzi
Utoshaji
Utoshaji
Maelezo ya Mawasiliano ya Ofisi ya Ulaya
Ukiwa na maswali kuhusiana na mafukizo ya Ulaya,
tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya Ulaya kupitia:
Max-Born-Straße 2, 68519 Viernheim, Ujerumani
4
Mvuke wa
Maelekezo
Sumu
Mlipuko
Sehemu
Moto
Petroli
Waya wa Ardhi
Udhibiti wa
Usiwashe
Injini
Injini
Washa
Mkondo
Mkondo-Badilishi
wa umeme (AC)
Fulizo (DC)
Maelezo ya Vifaa
Soma mwongozo huu kwa makini ili uwe
mzoefu na jereta yako ya nje. Jua matumizi
yake , mapungufu yake, na hatari zozote
zinazohusika. Hifadhi maelekezo haya ya
kiasili kwa ajili ya kumbukumbu za baadaye.
Jenereta ni jenereta inayoendeshwa na mtambo, ina
uga wa kizingia, wa mkondo geu na mkondo nyofu
(AC & DC). Jenereta hii imeundwa kusambaza nguvu
za umeme wa kuwasha taa mwafaka, kuendesha
vyombo, ala na mageuzo ya umeme. Uga wa kizingia
unaendeshwa kwa takriban mizunguko 4,500 kwa dakika
(kama swichi ya QPT (QUIET POWER TECHNOLOGY™)
imezimwa) na mashine ya silinda moja.
Inua jenereta ukitumia mpini kama vishikilio.
Kila jitihada imefanyika ili kuhakikisha kuwa taarifa
katika mwongozo huu ni sahihi na wa kisasa. Hata
hivyo, tunadhibiti haki ya kubadilisha, kughairisha , ama
kuboresha jenereta na hati hii wakati wowote bila ilani.
Ilani Kama una maswali kuhusu matumizi
yanayokusudiwa, wasiliana na mhudumu aliyeidhinishwa.
Kifaa hiki kimeundwa kutumiwa na bidhaa za nguvu za
umeme na vipuri vilizoidhinishwa vya Briggs & Stratton
PEKEE.
Mfumo Ardhi
Jenereta hii ina mfumo wa ardhi anaounganisha vidude
vya ubao wa jenereta kwa nyaya za ardhi kwa vizalishi
vya mkondo geu (AC). Waya baki ya jenereta inapepea,
ikimaanisha kwamba mtatio wa rota ya mkondo geu
(AC) umetengwa na kitango ardhi cha plagi ya mkondo
geu Vifaa vya umeme, kama vile Kileta Salama, RCD,
vinavyohitaji baki la ardhi huenda visifanye kazi vyema
katika jenereta hii.
Mahitaji Maalum
Kunaweza kuwa na kanuni, taratibu za mitaa, ama sheria
zinazohusu matumizi yaliyokusudiwa kwa jenereta hii.
Tafadhali pata ushauri wa fundi umeme aliyehitimu,
mkaguzi wa umeme, au wakala wa mji aliye na mamlaka.
!
Jenereta hii haijakusudiwa kutumiwa katika mahali pa
ujenzi au kwingineko kunakoshabihiana.
Utupaji wa Muungano wa Ulaya
Zima
wasiliana na Briggs & Stratton au mchuuzi wako wa
ndani kwa taarifa zaidi kuhusu utapaji.
Alama hii inaonyesha mmiliki wa betir na
vifaa vya kielektroniki hatatupa kifaa hiki
pamoja na uchafu wa manispaa ambao
haujagawanjwa. Kifaa hiki kinafaa
kutupwa katika maeneo yanayofaa
kimazingira ya uchafu. Tafadhali
BRIGGSandSTRATTON.COM
Tabla de contenido

Solución de problemas

loading

Este manual también es adecuado para:

030698-00030700-00

Tabla de contenido