Vipengele na Vidhibiti Kielelezo
A
Sehemu ya Kushikia
Inayotoka na Kurudi
B
Wezesha Swichi
C
Kiashiria Oili Chache
D
Mita ya Saa
E
Kitufe cha QPT
F
Stata ya Kurudi
Nyuma
G Lebo ya Utambulisho
H
Kifuniko cha
Udumishaji Oili
J
Kifuniko cha Mafuta
K
Kifuniko cha
Udumishaji
L
Wenzo wa Choki
(chini ya kifuniko)
M Kifuniko cha Betri
Kufunga
Unganisha Betri Kielelezo
Ni lazima uunganishe betri kwenye jenereta ili kuwezesha
uwashaji wa kiumeme au kwa mbali. Skrini, mfumo wa
LED na choki elektroniki zote zinaendeshwa na betri.
1. Ondoa skrubu na paneli kutoka mbele ya betri.
2. Unganisha kiunganishaji cha pini mbili kutoka
kwenye betri hadi jenereta.
Kuunganisha Kidude cha Kuwasha kwa
Mbali na Jenereta Kielelezo
Kidude cha Kuwasha kwa Mbali kinahitaji kuoanishwa
na jenereta ili kuwasha jenereta yako kwa mbali. Ili
kuoanisha kidude hiki na jenereta, fuata maagizo yaliyo
hapa chini:
1. Bonyeza na ushikilie swichi ya kuamilisha (1, B) kwa
sekunde 10 na taa ya kitufe cha washa/zima (1, Z)
itaaza kumweka mwangaza wa buluu.
N
Plagi za Volti 12 za DC
P
Kitango Ardhini
Q Plagi za Volti 230 za
AC, Amp 16
R
Swichi ya Kukata
Umeme
S
Taa ya Kiashiria
Kufunga Kaboni
Monoksidi (CO)
T
Vituo vya USB
U
Tundu la Kumwagia
Oili (chini ya kifuniko)
V
Tundu la kujazia Oili/
Kifaa cha Kupima
Kiwango cha Oili
(chini ya kifuniko)
W Mafla/Ekzosi ya
Kishika Cheche
X
Vali ya Mafuta
Y
Uwekaji Upya Mkuu
Z
Kitufe cha Washa/
Zima
2
1 3
Zuia Sumu ya Kaboni Monoksidi (CO)
•
•
•
Zaidi ya mita 6.1
2. Ndani ya sekunde 30, bonyeza na ushikilie kitufe
1
chochote kwenye kidude cha kuwasha kwa mbali
(3) fkwa sekunde 2. Taa ya kitufe cha washa/zima
(1, Z) itamweka kwa kazi mara 3 kuashiria kwamba
kidude cha kuwasha kwa mbali kimeoanishwa.
ILANI Vidude vyote vya Kuwasha kwa Mbali vinaweza
kutengenishwa kwa kubonyeza kitufe cha washa/zima
(1, Z) pamoja na swichi ya kuamilisha (1, B) kwenye
jenereta kwa wakati mmoja kwa sekunde 10.
Uendeshaji
Hatua ya 1: Eneo Salama
Kabla ya kuwasha jenereta ya kubebeka kuna mambo
mawili muhimu ya usalama kuhusu sumu ya kaboni
monoksidi na moto ambayo ni lazima yashughulikiwe.
Eneo la Kuendeshea ili Kupunguza Hatari ya Sumu
ya Kaboni Monoksidi
ONYO! Eksozi ya injini ina kaboni monoksidi,
gesi ya sumu ambayo inaweza kukuua wewe
kwa dakika chache. Hauwezi kuinusa, kuiona,
wala kuionja. Hata kama huwezi kunusa mafukizo
yanayotolewa, bado unaweza kupumua gesi ya
monoksidi ya kaboni.
• Endeshea nje jenereta ya kubebeka, angalau mita 6.1
mbali na mahali ambapo kuna watu huku eksozi ikiwa
imeelekezwa mbali ili kupunguza hatari ya kupumua
kaboni monoksidi.
• Sakinisha ving'ora vya kutambua uwepo wa kaboni
monoksidi vinavyotumia betri pamoja na hifadhi
ya betri kulingana na maagizo ya mtengenezaji.
Ving'ora vya moshi haviwezi kutambua gesi ya kaboni
monoksidi.
• Usiendeshe jenereta ya kubebeka ndani ya nyumba,
gereji, vyumba vya chini ya ardhi, ubati, vibanda, au
majengo mengine yaliyobanwa hata kama unatumia
viyoyozi ama kufungua milango na madirisha ili
hewa safi iingie. Gesi ya kaboni monoksidi inaweza
kukusanyika kwa haraka katika maeneo haya na
inaweza kukwama kwa saa nyingi, hata baada ya
bidhaa hii kuzimwa.
• Kila wakati uelekeze ekzosi ya injini mbali na maeneo
yenye watu.
Ukianza kuhisi mgonjwa, kizunguzungu, mchovu, au
ving'ora vya kaboni monoksidi vikilia wakati unatumia
bidhaa hii, nende mahali penye hewa safi mara moja.
Wasiliana na watoa huduma za dharura. Huenda ukawa
umeathiriwa na sumu ya kaboni monoksidi.
Tumia maeneo ya nje angalau mita 6.1 mbali
na makazi yoyote.
Elekeza ekzosi mbali na nyumba na maeneo
yote yenye watu.
Weka ving'ora vya CO ndani ya nyumba yako.
5