Briggs & Stratton 1200A Manual Del Usuario página 179

Tabla de contenido
Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 53
Yaliyomo
Usalama na Alama za kuelekeza . . . . . . . . . . . . . . . 3
Maelezo ya Vifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 3
Vipengele na Vielekezi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Operesheni . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 7
Kuhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 7
Utatuaji wa Matatizo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Maelezo ya Kina . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Udhamini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Usalama na Ishara za Kuelekeza
Ishara ya usalama na tahadhari inaonyesha hatari
ya jeraha la kibinafsi linaloweza kufanyika. Ishara ya
usalama inaweza kutumika kuwakilisha aina ya hatari.
OYNO inaonyesha hatari ambayo isipoepukwa, inaweza
kusababisha kifo au majeraha makubwa. TAHADHARI
inaonyesha hatari ambayo isipoepukwa, inaweza
kusababisha majeraha madogo au ya wastani. ILANI
huashiria maelezo yanayozingatiwa kuwa muhimu, lakini
hayahusiani na hatari.
Mwongozo wa
Ishara ya
Usalama
Maelekezo
Moto
Mshtuko wa
Stima
King'ora cha
Yaliyo Upande
Kaboni Monoksidi
wowote
Kiwango cha
Mafuta
mafuta
Washa
Zima
Kukosa Hewa
Kukosa Hewa
Maelezo ya Mawasiliano ya Ofisi ya Ulaya
Ukiwa na maswali kuhusiana na mafukizo ya Ulaya,
tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya Ulaya kupitia:
Max-Born-Straße 2, 68519 Viernheim, Ujerumani
Mvuke wa
Msisimko
Sumu
Mlipuko
Eneo lenye
joto
Kuelekeza umeme
Mafuta
ardhini
!
Kudhibiti injini
Usiwashe Injini
Mkondo-Badilishi
Kifaa ya Kuvunja
Saketi
wa umeme (AC)
Sakama
Endesha
Maelezo ya Vifaa
Soma mwongozo huu kwa makini na uelewe
kuitumia jenereta yako ya nje. Jua matumizi
yake, upungufu wake, na hatari zozote
zinazohusika. Ila maelekezo ya awali ya kumbukumbu
baadaye.
Jenereta ya nje inaendeshwa na injini, sumaku
inayozunguka, jenereta inayotumia mfumo wa umeme
wa (AC) na kidhibiti cha volteji. Kidhibiti cha volteji
kimeundwa ili kidumishe moja kwa moja kiwango cha
volteji kinachotolewa.
Jenereta ya kubebeka huzalisha umeme wa kutosha
kutumiwa kwenye vifaa vya nje kwa kutumia kebo
ndefu kwa urejeshaji wa kwanza wa muda wa umeme
nyumbani. Kabla ya ukose umeme nyumbani mwako,
funga swichi ya ubadilisha ya kuwashwa kwa mkono.
Swichi ya ubadilisha ni kifaa tofauti kinachofungwa na
fundi wa umeme kinachoruhusu jenereta ya kubebeka
kuunganishwa moja kwa moja kwenye mfumo wako
wa umeme nyumbani. Kebo ndefu zinazounganishwa
kwenye paneli ya udhibiti ya jenereta ya kubebeka
hazikusudiwi kuwa suluhisho la kudumu wakati
zinaunganishwa kwenye vifaa ndani ya nyumba.
ILANI Kama unayo maswali kuhusu matumizi
yaliyonuiwa, mwulize mwuzaji au wasiliana na kituo cha
huduma kinachofaa. Mtambo huu umeundwa kutumiwa
pamoja na vipuri vilivyoidhinishwa kutoka kwa
Briggs & Stratton PEKEE.
Inua jenereta mkiwa wawili kwa kutumia susu kama kifaa
cha kuinulia.
Kila jitihada imefanyika ili kuhakikisha kuwa taarifa
katika mwongozo huu ni sahihi na wa kisasa. Hata
hivyo, tunahifadhi haki ya kubadilisha, kurekebisha, au
vinginevyo kuboresha bidhaa hii na waraka huu wakati
wowote bila arifa ya mapema.
Mfumo wa Kuelekeza Umeme kwa Ardhi
Jenereta ina mfumo msingi wa kuelekeza umeme kwa
ardhi ambayo inaunganisha vipengele vya fremu ya
jenereta katika sehemu ya kupokea umeme ya AC.
Jenereta isiyo na njia ya kuelekeza umeme kwa ardhi
ina maana kuwa steta ya AC imetengwa na kitango cha
kuelekeza umeme kwa ardhi na sehemu ya kupokea
umeme ya AC. Vifaa vya elektroniki kama vile RCD
vinavyohitaji msingi usioegemea popote huenda usifanye
kazi vizuri na jenereta hii. Uardhishaji wa jenereta hii
hauhitajiki.
Mahitaji Maalum
Kunaweza kuwa na kanuni, sera au sheria za nchi au eneo
zinazohusiana na matumizi ya jenereta. Tafadhali pata
ushauri wa mhudumu wa umeme aliyehitimu, mkaguzi wa
umeme ama wakala mwenye mamlaka wa eneo lako.
Jenereta hii haijanuiwa kutumika katika eneo la ujenzi.
Utupaji wa Muungano wa Ulaya
Alama hii inaonyesha mmiliki wa betir na
vifaa vya kielektroniki hatatupa kifaa hiki
pamoja na uchafu wa manispaa ambao
haujagawanjwa. Kifaa hiki kinafaa
kutupwa katika maeneo yanayofaa
kimazingira ya uchafu. Tafadhali
wasiliana na Briggs & Stratton au mchuuzi wako wa
ndani kwa taarifa zaidi kuhusu utapaji.
3
Tabla de contenido
loading

Tabla de contenido