Snapper 2691382-00 Manual Del Operador página 97

Ocultar thumbs Ver también para 2691382-00:
Tabla de contenido
Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 31
Asante kwa kununua kifaa hiki cha Snapper
kilichotengenezwa kwa ubora wa juu ® . Tumefurajia
umeamini chapa hii ya Snapper. Ikiwa kitaendeshwa
na kukarabatiwa kulingana na maelekezo yaliyomo
katika mwongozo huu, kifaa chako kitatoa huduma ya
kutegemewa kwa miaka mingi.
Mwongozo huu unajumuisha maelezo ya usalama ili
kukujulisha hatari zinazohusiana na mashine na jinsi
ya kuziepuka. Mashine hii imeundwa na kusudiwa
tu kumalizia ukataji wa nyasi zilizotunzwa vizuri na
haijakusudiwa kwa lengo lingine lolote. Ni muhimu
kusoma na kuelewa maelekezo haya kikamilifu kabla
ya kujaribu kuanza au kuendesha kifaa hiki. Hifadhi
maelekezo haya ya asili kwa ajili ya kumbukumbu za
baadaye.
Orodha ya Ufafanuzi wa Vipuri vya mashine hii
inaweza kupakuliwa kutoka www.snapper.com.
Tafadhali toa nambari ya modeli na nambari ya
mfululizo wakati wa kuagiza viungo vya ubadilishaji.
Tarehe ya Kununuliwa____________________________
Muuzaji________________________________________
Nambari ya Simu ya Muuzaji_______________________
Vifaa
Nambari ya Modeli_________________________
Nambari Tambulishi________________________
Injini
Modeli__________________________________
Aina____________________________________
Msimbo_________________________________
Bidhaa Zinazozungumziwa katika
Mwongozo Huu
2691382-00
2691383-00
Jedwali la Yaliyomo
Usalama wa Mwendeshaji ......................................... 10
Vipengele na Vidhibiti ................................................ 15
Uendeshaji .................................................................. 15
Ukarabati ..................................................................... 18
Utatuzi ......................................................................... 26
Dhamana ..................................................................... 28
Maainisho .................................................................... 30
9
sw
Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

2691383-00

Tabla de contenido