Briggs & Stratton VANGUARD 10V000 Manual Del Operador página 48

Ocultar thumbs Ver también para VANGUARD 10V000:
Tabla de contenido
Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 24
Maelezo Jumla
Mwongozo huu una maelezo ya kiusalama kuhusu hatari zinazohusiana na injini na jinsi
ya kuzizuia. Pia ina maagizo ya uendeshaji na udumishaji sahihi wa injini hii. Ni muhimu
kwamba usome, uelewa, na ufuate maagizo haya. Hifadhi mwongozo huu kwa ajili ya
marejeleo ya siku zijazo.
KUMBUKA: Vielelezo na mifano iliyo katika mwongozo huu ni ya kimaelezo pekee na
huenda ikatofautiana na muundo wako. Fuata vielelezo vinavyolingana na jinsi injini
yako imefanyiwa usanidi. Ikiwa inahitajika, zungumza na Mtoa Huduma Aliyeidhinishwa.
Rekodi tarehe ya kununua, muundo, aina, na nambari za msimbo za injini kwa ajili ya
vipuri. Nambari hizi zipo kwenye injini yako. Rejelea sehemu ya Vipengele na Vidhibiti.
Tarehe ya Ununuzi
Muundo wa Injini - Aina - Msimbo
Nambari Tambulishi ya Injini
Maelezo ya Mawasiliano ya Ofisi ya Ulaya
Ukiwa na maswali kuhusiana na mafukizo ya Ulaya, wasiliana na ofisi yetu ya Ulaya
kupitia:
Max-Born-Straße 2, 68519 Viernheim, Germany. 
Umoja wa Ulaya (EU) Awamu ya V (5):
Viwango vya Kaboni Dioksidi (CO2)
Andika CO2 ndani ya upau wa kutafuta kwenye BriggsandStratton.com ili kupata
viwango vya kaboni dioksidi vya injini za Briggs & Stratton zilizoidhinishwa za Aina ya
EU. 
Usalama wa Mwendeshaji
Ishara ya Tahadhari ya Usalama na Maneno ya
Ishara
Alama ya tahadhari ya kiusalama ya
kuhusu hatari zinazoweza kusababisha jeraha la kibinafsi. Neno la ishara (HATARI,
ONYO, au TAHADHARI) linatumika kuonyesha uwezekano wa kujeruhiwa na ubaya
wa jeraha hilo. Kwa kuongezea, alama ya hatari inatumika kuwakilisha aina ya hatari.
HATARI inaonyesha hatari ambayo, isipoepukwa, itasababisha kifo au jeraha mbaya
sana.
ONYO inaonyesha hatari ambayo, isipoepukwa, inaweza kusababisha kifo au jeraha
mbaya sana.
TAHADHARI inaonyesha hatari ambayo, isipoepukwa, inaweza kusababisha jeraha
dogo au wastani.
ILANI inaonyesha maelezo yanayozingatiwa kuwa muhimu, lakini hayahusiani na
hatari.
Alama za Hatari na Maana Yake
Maelezo ya usalama
kuhusu hatari zinazoweza
kusababisha jeraha la
kibinafsi.
Hatari ya Moto
Hatari ya Mshtuko
Hatari ya Maeneo Moto
48
inatambulisha maelezo ya usalama
Soma na uelewe
Mwongozo wa
Mwendeshaji kabla ya
kutumia kifaa au kukifanyia
huduma.
Hatari ya Mlipuko
Hatari ya Moshi wenye
Sumu
Hatari ya Kuvutwa Nyuma
kwa Haraka
Hatari ya Kukatwa Viungo -
Sehemu Zinazosonga
Ujumbe wa Usalama
ONYO 
Injini za Briggs & Stratton® hazijaundwa kuzalisha nguvu za umeme au kuendesha:
vijigari vya kufurahia; vijigari vya kuendesha; vya watoto, burudani, au magari ya
barabara ya aina yote (ATV); pikipiki; gari la kuendeshea juu ya maji; bidhaa za ndege;
au magari yaliyotumiwa katika matukio ya mashindano yasiyowekewa vikwazo na
Briggs & Stratton. Kwa maelezo kuhusu bidhaa za mashindano ya uendeshaji magari,
tazama www.briggsracing.com. Kwa matumizi pamoja na vifaa na ATV za upande
kwa upande, tafadhali wasiliana na Kituo cha Matumizi ya Injini cha Briggs & Stratton,
1-866-927-3349. Matumizi ya injini isivyofaa inaweza kusababisha majeraha mabaya au
kifo.
Utumiaji tena wa Taarifa
Tumia tena mifuko yote, maboksi, oili na betri zilizotumika
kama ilivyobainishwa na kanuni za serikali.
Vipengele na Vidhibiti
Vidhibiti vya Injini
Linganisha herufi zilizo kwenye Vielelezo 1, 2, na 3 na vidhibiti vya injini katika orodha
ifuatayo:
A.
Nambari Tambulishi za Injini Muundo - Aina - Msimbo
B.
Plagi ya Spaki
C. Tangi na Kifuniko cha Mafuta
D. Kisafishaji Hewa
E.
Sehemu ya Kushika ya Kamba ya Kianzishaji
F.
Kifaa cha Kupima Kiwango cha Oili
G. Tundu la Kujazia Oili
H. Kifuniko cha Tundu la Kumwaga Oili
I.
Mafla, Kilinda Mafla (iwapo kipo), Kishika Spaki (iwapo kipo)
J.
Kidhibiti Injini / Vali ya Kufunga Mafuta / TransportGuard
K.
Kidhibiti cha Choki
L.
Grili ya Kuingiza Hewa
M. Swichi ya Kianzishaji cha Umeme (iwapo ipo)
N. Kifaa cha Upunguzaji (iwapo kipo)
Baadhi ya injini na vifaa vina vidhibiti vya mbali. Tazama mwongozo wa kifaa ili utambue
mahali ambapo vidhibiti vya mbali viko na jinsi ya kuvitumia.
Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Kasi ya Injini - HARAKA
Kasi ya Injini - SIMAMA
Kuwasha Injini
Choki IMEFUNGWA
Kifuniko cha Mafuta
Kizima Mafuta -
KIMEFUNGULIWA
Kiwango cha Mafuta -
Upeo
Usijaze Kupita Kiasi
Kasi ya Injini - POLEPOLE
WASHA - ZIMA
Kuwasha Injini
Choki IMEFUNGULIWA
Kizima Mafuta -
KIMEFUNGWA
Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

Vanguard 12v000Vanguard 25v000

Tabla de contenido