Vipengele na Vidhibiti Kielelezo
A Mita ya Saa
B Swichi ya Kuwasha
C Swichi Kuu ya Kukata
Umeme (30A)
D Eneo la Chajia Betri
E Plagi za Volti 230 za
AC (32A)
F Plagi za Volti 230 za
AC (16A)
G Swichi ya Kukata
Umeme
H Kitango Ardhini
Kufunga
Weka Gurudumu Kielelezo
1. Inamisha jenereta ili upande wenye injini uje juu.
2. Telezesha wosha (A) juu ya kibanio cha akseli (B).
3. Telezesha gurudumu (C) juu ya kibanio cha akseli
(B).
ILANI Hakikisha kuweka gurudumu lenye kituo
kilichoinuka .
4. Telezesha kibanio cha akseli (B) kupitia mabano ya
kushikilia.
5. Weka pini ya kufunga (D) kupitia shimo lililo kwenye
kibanio cha akseli.
6. Rudia hatua ya 2 hadi ya 5 ili kufunga gurudumu la
pili.
7. Lainisha mashimo katika mguu unaoshikilia (E)
pamoja na fremu ya jenereta.
8. Funga mguu wa kushikilia ukitumia skrubu nne
zenye kishwa (F) na nati nne za kando (G). Kaza
ukitumia spana za milimita 10 na 13.
9. Rejesha jenereta kwenye mkao wa kawaida wa
kuendesha (ikiwa imesimama kwa magurudumu na
mguu wa kushikilia).
Unganisha Kebo Hasi (Negative) ya Betri
Kielelezo
1
3
1. Ukitumia spana za milimita 8, ondoa nati, wosha
ya kufunga, wosha tambarare na skrubu kwenye
kichwa hasi (negative) cha betri (—).
2. Telezesha wosha ya kufunga (3, C), wosha
tambarare (3, D) na kebo hasi (negative) ya betri
(3, A) juu ya skrubu (3, B) na utelezeshe kwenye
kichwa hasi (negative) cha betri (—). Rejesha nati
(3, E) na ukaze.
TUMIA NJE YA NYUMBA - EPUKA SUMU YA KABONI MONOKSIDI
USE OUTDOORS - AVOID CARBON MONOXIDE POISONING
MAFLA
MUFFLER
elekeza mbali
point away
na nyumba
from home
J
Kifuniko cha Tundu la
Kujazia Oili/Kifaa cha
Kupima Oili
K Kifuniko cha Kumwaga
Oili
L
Tangi la Mafuta
M Mafla ya Kishika Cheche
N Chujio la Hewa
P Wenzo wa Choki
Q Stata ya Kurudi Nyuma
R Vali ya Mafuta
2
ILANI Tumia chaja ya betri katika kituo cha kuchaji betri
1
(1, D) na kituo cha umeme cha ukutani ili kuweka betri ya
kuanzisha ikiwa na chaji na tayari kutumika.
Uendeshaji
Hatua ya 1: Eneo Salama
Kabla ya kuwasha jenereta ya kubebeka kuna mambo
mawili muhimu ya usalama kuhusu sumu ya kaboni
monoksidi na moto ambayo ni lazima yashughulikiwe.
Eneo la Kuendeshea Jenereta ya Kubebeka ili
KUPUNGUZA HATARI YA SUMU YA KABONI
MONOKSIDI
ONYO! Eksozi ya injini ina kaboni monoksidi,
gesi ya sumu ambayo inaweza kukuua kwa
dakika chache. Hauwezi kuinusa, kuiona, wala
kuionja. Hata kama hauwezi kunusa mafukizo
yanayotolewa, bado unaweza kuvuta gesi ya kaboni
monoksidi. Tumia bidhaa hii tu nje, mbali na madirisha,
milango na matundu ili kupunguza hatari ya gesi ya
kaboni monoksidi kukusanyika na uwezekano wa kuwa
inasambazwa kuelekea maeneo yenye watu. Sakinisha
ving'ora vya kutambua uwepo wa monoksidi ya kaboni
vinavyotumia betri pamoja na hifadhi ya betri kulingana
na maagizo ya mtengenezaji. Ving'ora vya moshi
haviwezi kutambua gesi ya monoksidi ya kaboni.
Usiendeshe bidhaa hii ndani ya nyumba, gereji, vyumba
vya chini ya ardhi, ubati, vibanda, au majengo mengine
yaliyobanwa hata kama unatumia viyoyozi ama kufungua
milango na madirisha ili hewa safi iingie. Gesi ya kaboni
monoksidi inaweza kukusanyika kwa haraka katika
maeneo haya na inaweza kukwama kwa saa kadhaa,
hata baada ya bidhaa hii kuzimwa. Kila wakati weka
bidhaa hii upande ambao upepo unatelekea na uelekeze
ekzosi mbali na maeneo yenye watu. Ukianza kuhisi
mgonjwa, kizunguzungu, au mchovu wakati unatumia
bidhaa hii, nende kwenye eneo lenye hewa safi mara
moja. Mwone daktari. Huenda umegusana na sumu ya
kaboni monoksidi.
VING'ORA VYA KABONI
CARBON MONOXIDE ALARM(S)
MONOKSIDI
Install carbon monoxide alarms
Weka ving'ora vya kaboni monoksidi
inside your home. Without working
kwa boma lako. Bila ving'ora vya kaboni
carbon monoxide alarms, you will
monoksidi vinavyofanya kazi, hutaweza
not realize you are getting sick
kugundua unapoa endelea kugonjeka na
and dying from carbon monoxide.
pia kufa kwa sumu ya kaboni monoksidi.
5