Kutatua Matatizo
Kutatua Matatizo ya Trekta
TATIZO
Injini haizunguki au haiwaki.
Injini inaanza kwa tabu au inafanya kazi duni.
Injini haiwaki ipasavyo (engine knocks).
Matumizi ya oili kupita kiasi.
Ekzosi ya injini ni nyeusi.
Injini inaguruma, lakini trekta haisongei.
Trekta inaenda ni gumu kupindua au sio rahisi
kuidhibiti.
Kumbuka: Kwa matatizo yote mengine, wasiliana na Muuzaji Huduma Aliyeidhinishwa.
Kutatua Matatizo ya Mashine ya Kukatia Nyasi
TATIZO
Ukataji wa mashine ya kukatia nyasi sio sawia.
Ukataji wa mashine ya kukatia nyasi unaonekana sio
laini.
Injini inachelewa kwa urahisi wakati mashine ya
kukatia nyasi imewashwa.
Injini inaguruma na trekta inasongea, lakini mashine
ya kukatia nyasi haisongi.
Kumbuka: Kwa matatizo yote mengine, wasiliana na Muuzaji Aliyeidhinishwa.
70
KAGUA
Pedali ya breki haijasukumwa.
Mafuta yameisha.
Vichwa vya betri vinahitaji kusafishwa.
Betri haina chaji au imekufa.
Waya imelegea au imekatika.
Mchanganyiko wa mafuta umezidi sana.
Kiwango cha oili kiko chini.
Kutumia oili ya gredi mbaya.
Kutumia oili ya gredi mbaya.
Oili ni nyingi mno katika kasha la uendeshaji.
Chujio la hewa ni chafu.
Pedali za kudhibiti kasi ya ardhini hazijasukumwa.
Wenzo wa kutoa gia uko katika eneo linaloonyesha
SUKUMA (PUSH).
Breki ya kuegesha imewekwa.
Pumzi ya matairi si mwafaka.
KAGUA
Matairi ya trekta hayajajazwa hewa vizuri.
Kasi ya injini iko chini sana.
Kasi ya ardhini iko juu sana.
Kasi ya injini iko chini sana.
Kasi ya ardhini iko juu sana.
Kisafishaji hewa kisafi au kimezibika.
Urefu wa kukata uko chini sana.
Injini haina joto linalofaa la kuendesha.
Kuwasha mashine ya kukatia nyasi katika nyasi
ndefu.
PTO haijawashwa.
SULUHU
Sukuma pedali ya breki kabisa.
Ikiwa injini ina joto, iache ipoe, kisha ujaze tena tangi
la mafuta.
Rejelea Kusafisha Betri na Kebo .
Chaji au badilisha betri.
Kagua waya na macho. Ikiwa waya zimechakaa au
kukatika, mtembelee muuzaji aliyeidhinishwa.
Safisha chujio la hewa.
Kagua/ongeza oili inavyohitajika.
Rejelea Chati ya Mapendekezo ya Oili.
Rejelea Chati ya Mapendekezo ya Oili.
Mwaga oili ya ziada.
Rejelea Kufanya Udumishaji kwenye Chujio la Hewa .
Sukuma pedali.
Songeza hadi eneo linaloonyesha ENDESHA
(DRIVE).
Toa breki ya kuegesha.
Rejelea Kukagua Pumzi ya Matairi .
SULUHU
Rejelea Kukagua Pumzi ya Matairi .
Weka kwa kasi ya juu zaidi.
Punguza mwendo.
Weka kwa kasi ya juu zaidi.
Punguza mwendo.
Rejelea Kuhudumia Chujio la Hewa .
Kata majani marefu kwa urefu wa juu kabisa wakati
wa pitio la kwanza.
Washa injini dakika kadhaa ili kuipasha joto.
Washa mashine ya kukatia nyasi katika eneo wazi.
Washa PTO.