Usalama Wa Mwendeshaji - Briggs & Stratton 2691184-00 Manual Del Operador

Tabla de contenido
Idiomas disponibles
  • ES

Idiomas disponibles

  • ESPAÑOL, página 17
Bidhaa Zinazozungumziwa katika
Mwongozo Huu
Bidhaa zifuatazo zinazungumziwa katika mwongozo huu:
2691184-00 2691185-00 2691187-00 2691217-00 2691217-01
2691217-02 2691248-00 2691281-00 2691282-00 2691343-01
2691344-00 2691345-00 2691345-01 2691346-00 2691346-01
2691346-02 2691349-00 2691349-01 2691387-00 2691387-01
2691387-02 2691406-00 2691407-00
Yaliyomo:
Taarifa Jumla.......................................................................59

Usalama wa Mwendeshaji..................................................59

Vipengele na Vidhibiti.........................................................61
Uendeshaji...........................................................................62
Udumishaji...........................................................................66
Hifadhi..................................................................................69
Kutatua Matatizo.................................................................70
Maelezo................................................................................71
Taarifa Jumla
ili kupata maelezo zaidi, rejelea Mwongozo wa Mawasiliano wa
Mteja na Maagizo ya Kufunga yaliyojumuishwa pamoja na kifaa.
Picha zilizo katika hati hii ni za mfano tu. Kifaa chako huenda
kikawa tofauti na picha zinazoonyeshwa. KUSHOTO na KULIA
kunaonyeshwa kulingana na upande wa mwendeshaji.
Kutumiwa kwa maneno Muhimu na Kumbuka katika maandishi
kunaonyesha ufafanuzi, mambo ya kipekee, au mbadala za
taratibu zilizotolewa.
Tafsiri zote za lugha za hati zimetokana na faili asili ya
Kiingereza.
Ufungaji wote, oili iliyotumika, na betri zote zinapaswa kutumiwa
upya kulingana na kanuni husika za serikali.
Usalama wa Mwendeshaji
Hifadhi maagizo haya kwa ajili ya marejeleo ya siku zijazo.
Mwongozo huu una maelezo ya usalama ili kukufahamisha
kuhusu hatari zinazohusiana na bidhaa hii na jinsi ya kuziepuka
hatari hizo. Pia mwongozo una maagizo muhimu ambayo
yanafaa kufuatwa wakati wa utayarishaji, uendeshaji, na
udumishaji wa kwanza kabisa wa bidhaa hii.
Kifaa hiki kimeundwa na kusudiwa kutumiwa kukata nyasi
iliyotuzwa vyema na hakijakusudiwa kwa dhumuni lingine lolote.
Ni muhimu kusoma na kuelewa maagizo haya kabla ya kujaribu
kuanzisha au kuendesha kifaa hiki.
Pata ufahamu wa kina kuhusu vidhibiti na utumizi mzuri wa
bidhaa.
Jua jinsi ya kusimamisha kifaa na kuzima vidhibiti kwa haraka.
Alama za Usalama na Maana Yake
Alama
Maana
Maelezo ya usalama
kuhusu hatari
zinazoweza
kusababisha jeraha la
kibinafsi.
Ondoa ufunguo kabla
ya kufanya huduma.
Soma na uelewe
mwongozo wa
mwendeshaji kabla ya
kufanyia kifaa huduma.
Hatari ya moto
Hatari ya mshtuko
Sehemu zinazosonga
Kemikali hatari
Hatari ya kukatwa
kiungo cha mwili
Kaa mbali
Hatari ya kubingirika
Alama
Maana
Soma na uelewe
mwongozo wa
mwendeshaji kabla
ya kutumia kifaa au
kukifanyia huduma.
Simama
Hatari ya mlipuko
Hatari ya moshi
wenye sumu
Vaa Kinga ya macho
Hatari ya maeneo
moto
Hatari ya vitu
vinavyorushwa
Weka mbali na
watoto
Hatari ya kukatwa
kiungo cha mwili
59
Tabla de contenido
loading

Tabla de contenido